Tukumbushane jamani: Hawa wa wasanii wako wapi siku hizi?

Tukumbushane jamani: Hawa wa wasanii wako wapi siku hizi?

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,691
Reaction score
640
Tafadhali wakuu naomba kufahamishwa mahali walipo na nini wanachofanya siku hizi wasanii wafuatao:

1. Crazy GK
2. O'Nell(kama sijakosea) aliimba wimbo 'Posta, posta city center'
3. Kali P
4. Uswahilini Matola
 
1.GK yupo DSM kama kawaida anapiga zake msuli chuo mitaa ya Kurasini - JKT
2.SONEIl, &Kali P & Uswahilini Matola sina report zao
 
1.GK yupo DSM kama kawaida anapiga zake msuli chuo mitaa ya Kurasini - JKT
2.SONEIl, &Kali P & Uswahilini Matola sina report zao

Anapiga chuo cha diplomasia kurasini.Juzi kati nilikuwa kwa P-Funk na nilibahatika kusikiliza moja ya ngoma alizofanya.Am sure ile ngoma lazima itamrudisha kwenye game tu yoo...
 
Anapiga chuo cha diplomasia kurasini.Juzi kati nilikuwa kwa P-Funk na nilibahatika kusikiliza moja ya ngoma alizofanya.Am sure ile ngoma lazima itamrudisha kwenye game tu yoo...

Nakumbuka alikuwa DMX wa bongo kipindi kile.
Ila inabidi ajipange kiukweli maana game siku hizi lipo tight ile mbaya.
But, anyway tunamsubiri kwa hamu sana jamaa.
 
kali P ni DJ wa Bar flan maeneo ya Banana... kwa chota yuko pale kila siku
 
kali P ni DJ wa Bar flan maeneo ya Banana... kwa chota yuko pale kila siku

Mimi ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa wasanii wa zamani walikuwa na vipaji, ila kwa hili kuna haja ya kufikiria upya.
 
GK anahitaji kumaintain fedha na raps maana kuna mstari mmoja wa raps zake alighani"mijibaba yenye uwezo kirap na kifedha"
 
ananakuja anakuja c* pipi,raah p,imamu abass wapi o10?kwishney itafahamika
 
Mimi ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa wasanii wa zamani walikuwa na vipaji, ila kwa hili kuna haja ya kufikiria upya.

Wa sasa nao watakuwa wa zamani, na watathaminika muda ukifika
 
Back
Top Bottom