Tukumbushane kauli mbalimbali za walimu wetu enzi hizo

Tukumbushane kauli mbalimbali za walimu wetu enzi hizo

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
1. Mkimaliza kuongea niambieni niendelee kufundisha
2.kama unajua kufundisha kuliko mimi njoo mbele ufundishe wewe.
3. Wengine hapa mmekuja kukua tu.
4. Kichwa kikubwa lakini kichwani amna kitu.
5. Wazazi wako wanaangaika kulipa ada wewe unafanya upuuzi tu hapa.
6. Mtaisoma namba
7. Wengine hapa ni wake za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ok, ndio, sawa hata mkuu anaelewa - baba kadoda aka mwalimu Ngowi mkwawa

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Nyinyi kobe hamtoki mpaka bagia zangu ziishee weee hapo mzee nna mia yangu kwenye soksi kinyooonge naitoa
 
sio kila kitu nikufundishe mimi...mi nakupa asilimia 25% we tafuta zako 75%...usome usisome mi mshahara wangu uko palepale...
 
Hata msipo elewa ila mimi mwisho wa mwezi napokea mshahara wangu
 
Back
Top Bottom