1. Mkimaliza kuongea niambieni niendelee kufundisha
2.kama unajua kufundisha kuliko mimi njoo mbele ufundishe wewe.
3. Wengine hapa mmekuja kukua tu.
4. Kichwa kikubwa lakini kichwani amna kitu.
5. Wazazi wako wanaangaika kulipa ada wewe unafanya upuuzi tu hapa.
6. Mtaisoma namba
7. Wengine hapa ni wake za watu