tukumbushane kidogo bata la chuo kikuu mda wa boom

tukumbushane kidogo bata la chuo kikuu mda wa boom

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
poleni na majukumu wadau

lei nimepita sehemu nimeona vijana waliomaliza form six wakisimuliana maisha ya chuo kikuu wakanikumbusha mbali sana hasa fujo za wanafunzi mda boom likitoka

nimekumbuka wadau tulikuwa tuna msemo wetu boom likitoka tu lazima uende ATM ukavute 50,000 ya tambiko basi hata kana unakipindi unaacha unaenda tambika

kutambika ilikuwa ni kula vizuri na kunywa vizuri siku nzima mzigo ukikata unarudi ATM unavuta tena unaingia club kutia fujo ilikuwa pesa kidogo ili ilitosha sana basi fujo tu totoz nini

huu ulikuwa mda wa mapito na hi ililikuwa raha tu siku nyingine tutakumbushana shida na matizo ya chuo hasa boom linapokata

vip wewe mdau unnakumbuka nini?

samanini sana wale boom mliotumia kuoa ba kufanya biashara piteni tu hapa hapawahusu.
 
Back
Top Bottom