Tukumbushane kidogo katika riwaya za kiswahili

sir venance

Senior Member
Joined
Oct 26, 2017
Posts
151
Reaction score
223
Wakati nipo advance riwaya zangu tamu za muda wote zilikua ni île ya vuta n'kuvute ya shafih adam shafih na île ya usiku utakapo kwisha ya mbunda msokile, vilevile cwezi kuiweka kando riwaya ya f. senkoro inayoitwa jamila mpenzi japo hatukuisoma advance, ni zipi riwaya zako bora unazozikumbuka ?
 
Hiki kijiwe cha HKL ngoja mimi EGM nipite kimya kimya[emoji23] [emoji23]
 
Ngoswe Penzi Kitovu Cha Uzembe - sikumbuki kama ni Riwaya au sio....

Zawadi ya Ushindi - Dhamira kuu mapenzi hehehe

Shida - Hiki nililipenda na nilikijibia mtihani vizuri sana, nakumbuka niligonga A ya kiswahili O-level.
 
Ngoswe Penzi Kitovu Cha Uzembe - sikumbuki kama ni Riwaya au sio....

Zawadi ya Ushindi - Dhamira kuu mapenzi hehehe

Shida - Hiki nililipenda na nilikijibia mtihani vizuri sana, nakumbuka niligonga A ya kiswahili A level.
Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe sio riwaya ni tamthiliya. Hiki ni kitabu pekee ambacho kimetumika shuleni kwa zaidi ya miongo miwili mfululizo.

Heko kwake mtunzi wa tamthiliya hii ndugu Edwin Semzaba.
 
Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe sio riwaya ni tamthiliya. Hiki ni kitabu pekee ambacho kimetumika shuleni kwa takribani miongo mitatu mfululizo.

Heko kwake mtunzi wa tamthiliya hii ndugu Edwin Semzaba.
Al- Marhum (marehemu) Edwin Semzaba!
 
Hiki kijiwe cha HKL ngoja mimi EGM nipite kimya kimya[emoji23] [emoji23]
Kiswahili haukusoma o level?

Back
Top Bottom