Tukumbushane kuhusu mabondia wakali wa Tanzania na sifa zao.

Tukumbushane kuhusu mabondia wakali wa Tanzania na sifa zao.

Kigwangalla

Member
Joined
May 4, 2015
Posts
13
Reaction score
3
Miye namkumbuka Stanley Mabesi, Makoye Isangura, Michael Yombayomba, Ally Matumla huyu alimkalisha mtu Zambia huko miaka ya 90 nusu amuondoe duniani..
 
Back
Top Bottom