Kiwalani finest
Member
- Jul 6, 2024
- 97
- 72
KUPIGA NA KUPIGIWA KURA NI HAKI YAKO
KUGOMBEA NAFASI YA UONGOZI NI HAKI YA URAIA
Tumeadhimisha kumkumbuka Mwl Julius Kambarage Nyerere.
Ni vyema Sasa kupitia katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara ya 5(4) Tukazingatia maneno ya Mwl Nyerere yaliyoandikwa kwenye kitabu Cha Nukuu za Kiswahili za Mwalimu uk 125-126 ya kuwa
Haki ya
Kupiga kura
Na kupigiwa kura ni haki ya Uraia .
Haki ya kugombea nafasi ya Uongozi
Ni haki ambayo Mtu
Anazaliwa nayo
Haihitaji mtu awe na chama .
Mtu anatakiwa awe na utimamu wa akili mwenye uelewa wa utambuzi.
Tuheshimu ilani ya CCM 2020 uk 01 ibara 04 na uk 161-168 inayotu sisitiza kuto kuishi kwa mazoea Bali kufuata sheria .
Kidumu chama Cha Mapinduzi
Mathias Mugerwa Kahinga