Tukumbushane maisha kabla ya WhatsApp na Instagram

Tukumbushane maisha kabla ya WhatsApp na Instagram

I AM NO ONE

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2020
Posts
389
Reaction score
576
Habari wakuu.

Hebu tukumbushane maisha kabla ya WhatsApp na Insta ilikuaje kwako.

Mi nakumbuka nilikuwa makongo sekondari aise, yaani swagga zetu ilikuwa ni kupendeza kuvaa vizuri; mademu tuliburuza sana aise bila shida yoyote maana hakukuwa na swagga za kuonekana wewe unamiliki simu kali wala nini.

Lakini sasa hivi demu ili umpate kwanza anakutathmini unatumia simu gani kama Tecno alafu demu ni mzuri aah we huwezi mpata huyo, maana mademu wa sasa hivi mandezi akikuona unatumia simu ya lakini tano mpaka milioni alafu iwe brand nzuri, dah atakuganda hatari maana anajua pesa unazo.

Kwako je, ilikuaje kipindi hicho?
 
Back
Top Bottom