Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaMtoa Mada umelipa Kodi ya nyumba unayoishi??
Itakuwa umezaliwa usMalani ni kitu gani?
Nimezaliwa bush kabisa ila nilijua wanaita Matani,kumbe ni malani?sikujuaItakuwa umezaliwa us
Leo nimesikia madogo wakipeana malani nikaona si mbaya tukjikumbusha malani kidoogo kuflash bck
Naanza na ....pua kama donge la sabuni
Acha ujinga mkuuKuna uhusiano gani kati ya Malani ( Matani ) na hadhi ya ' News Alert ' uliyoipa thread yako?
Ada ya nn wakati magu anatoa elimu bure ,,,tumbo kama pipaumelipa ada kwanza maan isijekuwa unapotezea stress
sawaAda ya nn wakati magu anatoa elimu bure ,,,tumbo kama pipa
Matani kwa kiingereza ni Jokes, ila Malani(maLaani), namna fulani kama kulaani kitu au mtu, waingereza wanaita Curse, mfano mmoja akisema "you got a big head like a chicken" aliyeambiwa akute akauliza "did you just curse me?"Kuna uhusiano gani kati ya Malani ( Matani ) na hadhi ya ' News Alert ' uliyoipa thread yako?
Hahah umejibu kiunyongesawa
Hahah umejibu kiunyonge
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ada ya nn wakati magu anatoa elimu bure ,,,tumbo kama pipa