Tukumbushane malani enzi za udogo

beco

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
1,339
Reaction score
783
Leo nimesikia madogo wakipeana malani nikaona si mbaya tukjikumbusha malani kidoogo kuflash bck
Naanza na ....pua kama donge la sabuni
 
Malani mengine yalikuwa yanaudhi sana.., "matak* juu juu kama breki ya honda..." hahah
 
Leo nimesikia madogo wakipeana malani nikaona si mbaya tukjikumbusha malani kidoogo kuflash bck
Naanza na ....pua kama donge la sabuni

Kuna uhusiano gani kati ya Malani ( Matani ) na hadhi ya ' News Alert ' uliyoipa thread yako?
 
umelipa ada kwanza maan isijekuwa unapotezea stress
 
Kuna uhusiano gani kati ya Malani ( Matani ) na hadhi ya ' News Alert ' uliyoipa thread yako?
Matani kwa kiingereza ni Jokes, ila Malani(maLaani), namna fulani kama kulaani kitu au mtu, waingereza wanaita Curse, mfano mmoja akisema "you got a big head like a chicken" aliyeambiwa akute akauliza "did you just curse me?"
hapo vipi mmeshaelewa?, ila malani sio kitu nzuri wakuu, tubarikiane na sio kulaaniana
 
Wengine wanaita "MAMELO".Njoo TUMELANE hahah
 
Ada ya nn wakati magu anatoa elimu bure ,,,tumbo kama pipa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…