Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,915
- 3,422
Unapochukua mkopo, unatakiwa kulipa riba, yaani kama umekopa milioni kumi, utalipa zaidi ya milioni kumi.
Sasa kitu pekee kitakachokuwezesha uwe na fedha ya ziada ya kulipa ni biashara.
Hivyo vingine havizalishi, na hivyo utaumia kwa kulipa hela nyingi kuliko uliuokopa.
Ndiyo maana nashauri ni vyema kama unakopa basi iwe kwa kufanyia biashara.
Ila hizo nilizotaja hapo juu, fanya kwa faida ya biashara au kwa akiba zako binsfsi.
Mkopo kwa matumizi hayo utakuumiza, ni sawa na kuwafanyia kazi wengine.
Kwel kabisa mkuu uko sahihi sana.Unapochukua mkopo, unatakiwa kulipa riba, yaani kama umekopa milioni kumi, utalipa zaidi ya milioni kumi.
Sasa kitu pekee kitakachokuwezesha uwe na fedha ya ziada ya kulipa ni biashara.
Hivyo vingine havizalishi, na hivyo utaumia kwa kulipa hela nyingi kuliko uliuokopa.
Ndiyo maana nashauri ni vyema kama unakopa basi iwe kwa kufanyia biashara.
Ila hizo nilizotaja hapo juu, fanya kwa faida ya biashara au kwa akiba zako binsfsi.
Mkopo kwa matumizi hayo utakuumiza, ni sawa na kuwafanyia kazi wengine.
Kwa hesabu kama hizi ni rahisi,Asante kwa ushauri mkuu lakini ningependa unitoe tongotongo hapa, mfano gharama ya pango ni Tzs milioni saba kwa mwaka na gharama(Riba) ya mkopo ni milioni tatu kwa mwaka, huoni hapo unafuu unakuja kukopa kwa ajili ya ujenzi hasa ukizingatia ukimaliza kulipa mkopo hutalipia pango tena!
Kwa hesabu kama hizi ni rahisi,
Lakini kumbuka yafuatayo,
1. Hata utakapochukua mkopo na kujenga, bado mwaka mzima utakuwa umepanga.
2. Ukipiga mahesabu yote mpaka uje kumaliza kulioa mkopo huo, utakuwa umelipa kiasi kikubwa sana.
Sasa kwa nini usichukue mkopo huo na kujikita nao kwenye biashara, ndani wa mwaka mmoja ukiwa active na kujitoa kweli biashara inasimama, hiyo miaka inayofuata tayari unakuwa unatengeneza faida, na unajenga bila stress.

Hapo umechemka co wte wanaochukua mikopo ni wasio nazo wengne n watumish so n halali ajenge/anunue gari na marejesho anacover vzr tu,labda ungetofautisha man