Tukumbushane mambo ya ovyo yanayorudi kwa kasi

Tukumbushane mambo ya ovyo yanayorudi kwa kasi

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Posts
2,832
Reaction score
2,390
Miongoni mwa mambo ya hovyo ni;
1. Abiria kusimama kwenye basi kuwa kitu cha kawaida
2. Malori kupaki barabarani na kuziba njia
3. Kuuza na bidhaa na kutokutoa risiti
4. Watumishi wa Serikali kutojali wananchi
 
Viwanja vya Wazi kuuzwa Holela.
Vituo vya mafuta makazi ya watu.
Ujenzi Holela wa ICD.
Upigaji kwenye miradi.
Wingi wa Wahamiaji Haramu.
Madawa ya kulevya kuongezeka.
Biashara ya Magendo kukithiri.
Bandari Bubu kuvusha mizigo bila kodi
Ukwepaji kodi kupitia GSM et al
 
Wafanyabiashara kukaidi bei elekezi.
 
Miongoni mwa mambo ya hovyo ni;
1. Abiria kusimama kwenye basi kuwa kitu cha kawaida
2. Malori kupaki barabarani na kuziba njia
3. Kuuza na bidhaa na kutokutoa risiti
4. Watumishi wa Serikali kutojali wananchi
Yani umeandika yote haya na kusahau kero kubwa ya kukatika kwa Umeme???
 
Viwanja vya Wazi kuuzwa Holela.
Vituo vya mafuta makazi ya watu.
Ujenzi Holela wa ICD.
Upigaji kwenye miradi.
Wingi wa Wahamiaji Haramu.
Madawa ya kulevya kuongezeka.
Biashara ya Magendo kukithiri.
Bandari Bubu kuvusha mizigo bila kodi
Ukwepaji kodi kupitia GSM et al
Naomba kirefu cha ICD
 
Back
Top Bottom