Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 25,425 Reaction score 59,309 Feb 13, 2024 #21 rubii said: Umeme......uwoooooooo๐ Click to expand... Uwoooooooooo!! ๐๐๐ Katika vitu vinanikwaza namba ni TANESCO hawa watu wanafanya maisha yawe magumu sana..!! Na ndio watasababisha nisimpe kura yangu mama
rubii said: Umeme......uwoooooooo๐ Click to expand... Uwoooooooooo!! ๐๐๐ Katika vitu vinanikwaza namba ni TANESCO hawa watu wanafanya maisha yawe magumu sana..!! Na ndio watasababisha nisimpe kura yangu mama
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,332 Reaction score 31,306 Feb 13, 2024 #22 Mkuu tukiyamaliza haya tuyataje na mambo ya hovyo yaliyoondolewa ambayo hayapo sasa hivi