Tukumbushane maneno, misemo ya mtaalamu "Julio" picha yake IPO kama humjui

Tukumbushane maneno, misemo ya mtaalamu "Julio" picha yake IPO kama humjui

Google Diggers

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
944
Reaction score
1,138
'Ukiongea na Mimi hakikisha akili yako imekaa vizuri.' sio maneno yangu Julio Kwa wanaomfahamu ni mtaalamu wa soka na maneno yake makali


Screenshot_20220923-093902.jpg
Screenshot_20220923-093823.jpg
 
Julio na Zahera wana mdomo sana, kazi kulaumu marefa n.k ila kufundisha zero.

Uzuri mpira unachezwa hadharani.
 
'Yanga ni kama pombe ya ngomani, muda wowote najichotea tu' - Julio

Aliitoa hii kauli baada ya game ya Mtani Jembe iliyoisha kwa Yanga 3-3 Simba.

Yanga ikiwa imesheheni nyota mbalimbali chini ya mfadhili Yusuph Manji mpaka kipindi cha kwanza iliongoza kwa GOLI TATU BILA,,, wananchi wakaamini leo ndio leo kisasi cha goli TANO kinarudi, Mnyama tunamchania chupi Gheto kwake
Lakn Mnyama akarudi kwa kasi ya ajabu na akasawazisha goli zote Tatu
 
Back
Top Bottom