Tukumbushane maneno, misemo ya mtaalamu "Julio" picha yake IPO kama humjui

Kabisa graat thinker mwenzangu
Hatari ya ma graat thinker na kweli Julio Mzee kiwelu alimaanisha....ukiandika kujibu jibu watu hakikisha akili yako imekaa vizuri
 
Julio na Zahera wana mdomo sana, kazi kulaumu marefa n.k ila kufundisha zero.

Uzuri mpira unachezwa hadharani.
 
'Yanga ni kama pombe ya ngomani, muda wowote najichotea tu' - Julio

Aliitoa hii kauli baada ya game ya Mtani Jembe iliyoisha kwa Yanga 3-3 Simba.

Yanga ikiwa imesheheni nyota mbalimbali chini ya mfadhili Yusuph Manji mpaka kipindi cha kwanza iliongoza kwa GOLI TATU BILA,,, wananchi wakaamini leo ndio leo kisasi cha goli TANO kinarudi, Mnyama tunamchania chupi Gheto kwake
Lakn Mnyama akarudi kwa kasi ya ajabu na akasawazisha goli zote Tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…