Tukumbushane maneno ya kizungu ambayo wabongo tunajifanya ni lugha yetu

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
2,079
Reaction score
2,254
Tukumbushane maneno ya kizungu ambayo wabongo tunajifanya ni lugha yetu

mfano;
We "bitozi' tu
Huyu jamaa ni "joblesi"
"poa"
"Kompyuta"

Hayo maneno ya kwenye fungua na funga semi ni asili ya kizungu lakini tumejifanya kuyabisisha.

Tuendelee.
 
'Poa' inatokana na neno gani la Kiingereza?
 
Tukumbushane maneno ya kizungu ambayo wabongo tunajifanya ni lugha yetu

mfano;
We "bitozi' tu
Huyu jamaa ni "joblesi"
"poa"
"Kompyuta"

Hayo maneno ya kwenye fungua na funga semi ni asili ya kizungu lakini tumejifanya kuyabisisha.

Tuendelee.
Kuna mengine yanakuwa yametoholewa toka kwenye lugha nyingine na kuwekwa kwenye kiswahili, kiingereza kikiwemo... Matamshi hubaki vile vile (hufanana) lakini huandikwa tofauti....

Pitia hapa Maneno Ya Kiswahili Yaliyo Toholewa Toka Lugha Nyingine:
 
Tablarassa --- kabrasha

impeccable --- haipikiki

ignorance --- ugoroulanzi
 
Tukumbushane maneno ya kizungu ambayo wabongo tunajifanya ni lugha yetu

mfano;
We "bitozi' tu
Huyu jamaa ni "joblesi"
"poa"
"Kompyuta"

Hayo maneno ya kwenye fungua na funga semi ni asili ya kizungu lakini tumejifanya kuyabisisha.

Tuendelee.
Agenda - Ajenda
Company- Kampuni
Office- Ofisi
Notice- Notisi
 
Anyway..(sijui kiswahili chake)
Bytheway(!!!!?????)
Perfume(uturi,manukato)
Balbu (glopu)
Tiles(vigae)
Fresh( )
 
Back
Top Bottom