dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
'Poa' inatokana na neno gani la Kiingereza?Tukumbushane maneno ya kizungu ambayo wabongo tunajifanya ni lugha yetu
mfano;
We "bitozi' tu
Huyu jamaa ni "joblesi"
"poa"
"Kompyuta"
Hayo maneno ya kwenye fungua na funga semi ni asili ya kizungu lakini tumejifanya kuyabisisha.
Tuendelee.
Utanishtua akikujibu.'Poa' inatokana na neno gani la Kiingereza?
Kuna mengine yanakuwa yametoholewa toka kwenye lugha nyingine na kuwekwa kwenye kiswahili, kiingereza kikiwemo... Matamshi hubaki vile vile (hufanana) lakini huandikwa tofauti....Tukumbushane maneno ya kizungu ambayo wabongo tunajifanya ni lugha yetu
mfano;
We "bitozi' tu
Huyu jamaa ni "joblesi"
"poa"
"Kompyuta"
Hayo maneno ya kwenye fungua na funga semi ni asili ya kizungu lakini tumejifanya kuyabisisha.
Tuendelee.
Agenda - AjendaTukumbushane maneno ya kizungu ambayo wabongo tunajifanya ni lugha yetu
mfano;
We "bitozi' tu
Huyu jamaa ni "joblesi"
"poa"
"Kompyuta"
Hayo maneno ya kwenye fungua na funga semi ni asili ya kizungu lakini tumejifanya kuyabisisha.
Tuendelee.
Agenda - Ajenda
Company- Kampuni
Office- Ofisi
Notice- Notisi
Band aid - bandeji
Sizi limetokana na neno lip mkuuJamaa kasizi"sizi"