Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 May 22, 2024 #1 Shwari? Ushawahi kuazimisha gari kumbe limerudishwa na deni bila kujua? Au umefika muda wa kulipa bima ushasahau? Basi tukumbushane: Kuangalia Deni la Trafick: TMS CHECK Kuangalia Bima ya Gari: https://tiramis.tira.go.tz/#/ Kuangalia deni la Parking: https://www.termis.tarura.go.tz/
Shwari? Ushawahi kuazimisha gari kumbe limerudishwa na deni bila kujua? Au umefika muda wa kulipa bima ushasahau? Basi tukumbushane: Kuangalia Deni la Trafick: TMS CHECK Kuangalia Bima ya Gari: https://tiramis.tira.go.tz/#/ Kuangalia deni la Parking: https://www.termis.tarura.go.tz/
T Top gear JF-Expert Member Joined Sep 18, 2023 Posts 1,199 Reaction score 3,449 May 22, 2024 #2 Interesting
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 May 23, 2024 #3 Mwaka Jana niliandikiwa deni la parking ya mkoa wa TABORA wakati hata sijawahi kufikia na sipajui.