Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Habari zenu wanaukumbi,
Kuna viongozi waliopambana kwa kutoa michango yao ya hali na mali katika Nchi hii. Walipambana usiku na mchana ili tu Nchi ipige hatua fulani lakini Historia imewasahau na kuwatupa kabisa. Pengine ni kutokana na kupishana kauli na wakuu wa nchi hii.
Tuwakumbuke kwa kuwataja watu mbalimbali kama vile viongozi na wengineo ( Mashujaa wasioimbwa ) ambao michango yao katika Nchi imesahaulika ama kwa bahati mbaya au kwa makusudi.
Mimi nitaanza na hawa;
1. Oscar Kambona
2. Tuntemeke Sanga
3. Aboud Jumbe
Endelea na wewe