Kwa jinsi unavyosumbua Mods wabadili ID yako, ningekuwa Mod ungenikoma.[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna visababu vinanifanya nifanye hvo..
Ila Vinci atabakia siku zote. Ila from now sitabadiri tena
Hahaaa...ππππKwa jinsi unavyosumbua Mods wabadili ID yako, ningekuwa Mod ungenikoma.[emoji23][emoji23][emoji23]
Umezidisha sana usumbufu.Hahaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio kazi yao waliyo ajiriwa acha wasumbuliwe
Mbasha kashona suti kwa kutumia kitambaa cha sofaPamoja sana mkuu
Mkuu nadhani una mjua chaliifrancisco vizuri huwa akopeshi
Hivi kumbe ndio huyu hivi jamaa ni nani hapo chamani
Hivi kumbe ndio huyu hivi jamaa ni nani hapo chamani
Anaonekana ndama mtoto ba g'ombe
Anawachosha mods