mtemiwaWandamba
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 561
- 223
Kitalolo ni noma nilikuwa nasoma kibosho girls ukienda kwa bibj unakikuta kimrjaa tele ila nilikuwa sikiwezi aiseeeukija pale moshi kuna vyakula kama kiburu,ng'ande,kitalolo ni balaa,kuna matunda kama kweme na viazi vikuu..dah home sweet home..
Nilikuwa nikitoka shule nanenepeshwa na kisusio.We Mushi tangu lini kweme zikawa matunda???Nwy umesahau mtori..machalari..kisusio...ugali wa ndizi...perege...miwa...zambarau...elimu...mbege...nzuga...
Kule kwetu Undambani, Wali wa kutoezea kwa samaki( Ndungu, perege, njege , sulusulu,
ndipi, dagaa, ....);mchicha, bamia,kunde, matunda (maembe, mananasi, machungwa)
Tamu sanaKule upareni nilishawahi kwenda wana chakula chao cha ndizi / viazi wanachanganya na maharage kikitoka hapo ni kitamu balaa..ukiamua unakikoroga kinakuwa kama mtori...wanaita kishumba na kiombo kama sijakosea
yeah mkuuTamu sana
Mby bila kutaja makatapera na ndizi za kuchoma na nyama pale Mwiboma unakuwa hujatenda haki kidogo dada Nazjaz.
Hivyo asili yake ni uchagganiKule upareni nilishawahi kwenda wana chakula chao cha ndizi / viazi wanachanganya na maharage kikitoka hapo ni kitamu balaa..ukiamua unakikoroga kinakuwa kama mtori...wanaita kishumba na kiombo kama sijakosea
Hii nguniani ni tofauti na sombe ?Mbeya kuna mboga inaitwa nguniani, ni majani ya maharage, yakiungwa karanga ni matamu sana kwa ugali.
Pia kuna matunda kama masasati, makusu, mbula, numbu mapohora, mang'an'ga, bila kusahau migagi ya mahindi.
Hii kweli ya kichagga...na hata wamasai...Kitalolo ni noma nilikuwa nasoma kibosho girls ukienda kwa bibj unakikuta kimrjaa tele ila nilikuwa sikiwezi aiseee
Kumbe? Nilkuwa najua upareniHivyo asili yake ni uchaggani
⁰Udaga⁰Sumbalawinyo umenikumbusha home,nembe kwa ugali wa muhogo acha tu!
Mbeya kuna mboga inaitwa nguniani, ni majani ya maharage, yakiungwa karanga ni matamu sana kwa ugali.
Pia kuna matunda kama masasati, makusu, mbula, numbu mapohora, mang'an'ga, bila kusahau migagi ya mahindi.
View attachment 2480530Mbeya kuna mboga inaitwa nguniani, ni majani ya maharage, yakiungwa karanga ni matamu sana kwa ugali.
Pia kuna matunda kama masasati, makusu, mbula, numbu mapohora, mang'an'ga, bila kusahau migagi ya mahindi.