Tukumbushane miziki ya zamani ya ki Congo na bendi waliopiga na wimbo unakukumbusha nini na mwaka gani

Tukumbushane miziki ya zamani ya ki Congo na bendi waliopiga na wimbo unakukumbusha nini na mwaka gani

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,402
Reaction score
4,532
Nouvelle generation---------Lipua lipua nilikuwa std4 mwaka 1975
Engunduka ---verkys stds 5
Mandalala-Grand piza
Ayidjo--Kamale
Masua-Les Kamale
Abisina-Les Kamale
Ndukidi--Lipualipua
Maswa --lipua lipua
Ya Nini -----Verkys std 4 1975
Kalala--Verkys
Mombassa----Lipua Lipua
Lukani----Lipua lipua
Mbale----Kiam std 7 mwaka 1978
Temperature----Kiam
Baluti--Verkys
Nakoma juste---verkys

Endeleeeni wahenga
 
Back
Top Bottom