TUKUMBUSHANE:- Nyimbo za harusini za makabila mbalimbali

Tanga kuna ule ' ni mdodo'
afu ule wa nguo ya kuazima haisitiri mwili. Kitenge umeunguza mwenyewe anakitaka.
 
Lubegho la mwana luwaja, aeeee luwaja
luwaja khangi ubighe ngakaroo, aee luwajaaa!


Huu wimbo ndo utajua mwenye wowowo nani na mwenye sony wega nani hehehe
Kuna wimbo mmoja wa Kipare ni mzuri sana nimeusahau jina halafu ni maarufu.
 
Afu wamasai wanacheza kwa ustaarabu taratiibu. Wanawake wanatikisa mabega kwa madaha kama wagogo.
Wahaya ndo kiboko, ukumbi una tiles na ac ila wakicheza vumbi linatimka kama kiwanjani.
Hivi harusi za kimaasai watu huwa hawarushiani mikuki kweli wakati wa kucheza?
 
BAK, at times like these i miss you hadi nakumisplace. Huko youtube hamna hizi local dances jamani?
 
Last edited by a moderator:
yeah,huwa ni mzuri
sana. hasa ukipata wanaojua kuucheza kwa kutikisa mabega weee utapenda
thatha!

Kutikisa mabega ndio mpango mzima! Chezea mutu ya bara wewe? Tupia kitu cha Ndembele au Mwafuma Muikulu. Wanyamwezi hao.
 
Wangoni - Tuwajambasile wageni
Wangoni - Tuselebuke huu ndio maarufu mjini
Wangoni - Tumfunde mwai
Wangoni - Nigenda nepipi
Wangoni - Mkun'gunday
Wangoni - Dela dela
Wangoni - Kapungu(Kandege Karondora)

Tuwajambusile kiongozi sio tuwajambasile hahaa kiongozi umeifanya siku yangu iwe murua
 
Hehehe, kuna moja ya 'anaringa na ba jerusalemu', sijui kama nimekosea maneno. Naupenda, afu sijui maana yake.

hahahah...hujakosea sana unaitwa "Abalindwana"
Abalindwana bha Jerusalem,
Abalindwana bha Jerusalem bhikundilila Jesu

maana yake Wanawake au kinamama wa Yerusalem wanamlilia Yesu...ni wakati ule wa mateso ya Yesu wakati akipelekw Goligotha.
 
Wahaya ndo kiboko, ukumbi una tiles na ac ila wakicheza vumbi linatimka kama kiwanjani.

King'asti said:
Lubegho la mwana luwaja, aeeee luwaja
luwaja khangi ubighe ngakaroo, aee luwajaaa!
Huu wimbo ndo utajua mwenye wowowo nani
na mwenye sony wega nani hehehe

Una maneno wewe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…