Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
umeona wangoni tunavyotisha? chezea kabisa........ ngoja niwashtue ndugu zangu akina snowhite, moto2012, Mzee Tupatupa na kampuni waje wamwage nyingineWangoni - Tuwajambasile wageni
Wangoni - Tuselebuke huu ndio maarufu mjini
Wangoni - Tumfunde mwai
Wangoni - Nigenda nepipi
Wangoni - Mkun'gunday
Wangoni - Dela dela
Wangoni - Kapungu(Kandege Karondora)
he heeeeeeeeeee, afadhali umekuja, yaani nyie sherehe zenu ni ovyo kabisa......... vinywaji na vyakula vya kumwaga, ila ndo inakuwa kama darasani....................... wote mnajidai nshomile hamuwezi kurukaruka ovyo, lol!Ututendei haki kabisa!
Kwa hili nitaitaji fidia kama utakosa ushahidi.
umeona wangoni tunavyotisha? chezea kabisa........ ngoja niwashtue ndugu zangu akina snowhite, moto2012, Mzee Tupatupa na kampuni waje wamwage nyingine
tyamba kunyumba mlongo wangu, kubamani huku kwinoga lepi................................ ngati nikuwona cha uselebuka, lol!Nyimnbo za Adelgoti wa maposeni komesha bhana, raha tupu,
bwelaa bwelaa bweelaa ! bwelaaa bwelaa bweelaa kamwalii eehee, ukaganili wamweene dada eehee, ukaganilili wamweene dada eehe!!! kangoma kwa mbali na kakilulu kakizushi!! hahahaha dada, ne luta Yesu niluta!! Kubomani mbwituu!!
he heeeeeeeeeee, afadhali umekuja, yaani nyie sherehe zenu ni ovyo kabisa......... vinywaji na vyakula vya kumwaga, ila ndo inakuwa kama darasani....................... wote mnajidai nshomile hamuwezi kurukaruka ovyo, lol!
ha haaaaaaaaaaa tiwuka lepa mpaka timala ugimbiiiiiiiiiiii haiwezekani haiwezekani mpaka timala ugimbihuu wimbo wa mangaukau, kama mnaunakumbuka mjomba darky city, dada FP na Snowhite
Akahika njoroli, njoroli njoroli!!Njoroli Pawaka, akahika njororoli njoroli njoroli pawaka, akahika njoroli njoroli njoroli Tayari!!!
Aaah raha tupu!!!
Ninahakika isiyo na shaka kwa Tanzania na Afrika nzima tunaongoza kwa nyimbo na ngoma bora za harusi na matukio mbali mbali ya kijamii!!!
Hii nayo, Tilipatiii lilenge lenge litu, tilipatii...................................................tyamba kunyumba mlongo wangu, kubamani huku kwinoga lepi................................ ngati nikuwona cha uselebuka, lol!
Hahaha basi Dada FP, nakumbuka mengi nsije nkalia, wfi yako Preta sija mwona leo!ha haaaaaaaaaaa tiwuka lepa mpaka timala ugimbiiiiiiiiiiii haiwezekani haiwezekani mpaka timala ugimbi
last weekend kulikuwa na sendoff pale Istana, husband akaniambia vipi................. nikamwambia ya wahaya, hapana. sababu yeye ilikuwa ni ya mtu wanayeheshimiana sana akaenda, akamwambia katokea job na mimi nilikuwa busy sana sikuweza hudhuria. kafika kule ananitext naomba uniwekee msosi maana ntatoka soon, nasinzia tu.......... yaani kama walikuwa kikaoni, lol!Sio kweli Fp labda kama hauja udhuria harusi zetu siku nyingi, kwakweli tuna cheza ngoma sana tena sana! Me mwenyewe ukibahatika kunikuta kwenye function kama hizo na cheza ngoma hile mbaya! Naomba ujaribu kufanya utafiti kwa watu wengine wa kwambie!
ngoja nikuitie kakangu, Preta ........ njoo pande hii kaka yangu anakuitaHahaha basi Dada FP, nakumbuka mengi nsije nkalia, wfi yako Preta sija mwona leo!
ha haaaaaaaaaaa tiwuka lepa mpaka timala ugimbiiiiiiiiiiii haiwezekani haiwezekani mpaka timala ugimbi
kwanza nilikuambia ndugu zangu wengi wameolewa na wahaya, hivyo sherehe nyingi sana za wahaya nahudhuria, sijawahi kuona ya tofauti labda kama upande wa mama ni wa kabila jingine hasa wangoni au wanyakyusaSio kweli Fp labda kama hauja udhuria harusi zetu siku nyingi, kwakweli tuna cheza ngoma sana tena sana! Me mwenyewe ukibahatika kunikuta kwenye function kama hizo na cheza ngoma hile mbaya! Naomba ujaribu kufanya utafiti kwa watu wengine wa kwambie!
aaaa wapi, ila huwa tunaimba sana, kulia noYaani nyie na ugimbi, siwawezi. Na mkilewa naskia huwa mnalia