nessonlegend
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,698
- 1,512
maisha yanakwenda kasi sana, nakumbuka kuna siku nilikuwa hapo jiji la makonda kwa jamaa yangu geto. sasa baada ya kubanwa na haja nikataka kwenda huko msalani huku mvua ikiwa inanyesha, nikaomba mwavuli kwa mshkaji. baada ya kufika huko huku nimeshikilia mwavuli nikaanza (ku-long call) sasa kimbembe ni baada ya kumaliza haja nikawa na hitaji kutawasa 😀😀😀😀 hapa ndipo nilipoona mwavuli haukuwa na msaada wowote maana nililowana vya kutosha tu 😀😀😀