Tukumbushane riwaya za kusisimua

mizambwa napenda kuli pale mwisho wa kitabu yaaaani unasoma kuanzia mwanzo ukifika mwisho unakutana na usemi huu "yana mwisho haya"
kilinitoaga machozi hicho kitabu,hasa pale kijana anaanza ucargo alivokua akihangaika kubeba...
 
Haini, kuli, vuta nkuvute, kasri ya mwinyi fuad vya Adam Shafi.

Nyota ya Rehema

Pesa zako zinanuka, zawadi ya ushindi, Dar es salaam usiku vya Ben Mtobwa.

Mwana wa yungi hulewa cha Bwana Msa

Utengano

Kiu

Tata za asumini

Asali chungu. Ivi vyote vinenigusa sana na Nashkuru nakala zake nnazo. I keep then kuliko dhahabu
 
Zifuatazo ni Riwaya pia,ila zinaitwa riwaya pendwa kutokana na maudhui yake na sifa za riwaya pendwa:
Simu ya Kifo
Mizimu ya Watu wa Kale (mhusika mkuu Bwana Msa)
Mirathi ya Hatari mhusika mkuu mkuu Gusto)
Cha Mnyonge Utakitapika Hadharani
Nagona na Mzingire (hii ni riwaya ya kifalsafa sana)-Mwandishi- Prof. E. KEZILAHABI
Dunia Uwanja wa Fujo (mhusika mkuu ni Tumaini), Mwandishi-Prof. E. KEZILAHABI, kimechapishwa miaka ya 1975 na 1985
 
Zifuatazo ni Riwaya pia,ila zinaitwa riwaya pendwa kutokana na maudhui yake na sifa za riwaya pendwa:
Simu ya Kifo
Mizimu ya Watu wa Kale (mhusika mkuu Bwana Msa)
Mirathi ya Hatari (mhusika mkuu Gusto)
Cha Mnyonge Utakitapika Hadharani
Nagona na Mzingire (hii ni riwaya ya kifalsafa sana)-Mwandishi- Prof. E. KEZILAHABI
Dunia Uwanja wa Fujo (mhusika mkuu ni Tumaini), Mwandishi-Prof. E. KEZILAHABI, kimechapishwa miaka ya 1975 na 1985
 
Sio Mkimbizi??
 
Mhh..ni bei gan?? I wish 2 read it...
 
Last wk nilipita MTAA wa SAMORA nimekuta baadhi ya hivyo VITABU km HAINI, kinauzwa elf 12, VUTA NIKUVUTE,na BARUA NDEFU KM HII wanauza Elf 7500 Bado natafuta hivyo vyaakina MUSIBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…