"EDUCATION DISCIPLINE SELF RELIANCE" hivi hii ndio ilikuwa motto au?!Nimesahau
Mliosoma Jitegemee J.K.T mnikumbushe
Ulikuwa unadumisha tambazana
Hahaha
Mademu wake tulikuwa tunawanyanyapaa[emoji23]
HahahahahahElimu ni ufunguo wa maisha - shule ya msingi niliyosoma mimi na mtu fulani ambaye NI LAZIMA kila mtumia JF anamfahamu.
Education with discipline and unity- O level
Creativity, responsibility & obedience- A level.
Mademu wake tulikuwa tunawanyanyapaa[emoji23]
NOTHING BUT THE BEST Ikizu sec
Hahaha kama ilivyo Azajangwa .Hahaha hyo bond ya tambaza na zanaki kwa jina la TAMBAZANA ulikuwa ni ufuska kwendraaa mbele hasa kwnye haya matamsha ya pasaka....ila muda umepita aisee daah kweli muda ni ukuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikumbuki kitu huwezi amini 😀😀 nakumbuka tu kale ka wimbo..."EDUCATION DISCIPLINE SELF RELIANCE" hivi hii ndio ilikuwa motto au?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba ulikaa bweni gani?, mkwawa, seuta, milambo au chaburuma?"Skills and efficiency "
Ifunda tech