Tukumbushane sheria za Sodo/Chandimu (Mpira wa Makaratasi)

Digo zee

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
608
Reaction score
1,252
1) Mmiliki wa mpira ni lazima acheze, endapo hatopata namba basi ANAONDOKA na mpira wake.

2) Ukiwa mbabe, hutolewi mpaka mechi inaisha.

3) Hakuna kucheza ukiwa umevaa viatu.

NB. Kama hujawahi kucheza mpira wa makaratasi ( sodo/ chandimu) ulikosa uhondo wa soka kipindi hicho. [emoji1787]

 
Kisambi kikidumbukia kwenye maji noma kinakuwa kizito
 
- mwenye mpira anapanga team yake
- wote mnaocheza marefa au kama yupo uamuz
Wake utategemea kama team zote zimekubali
- alama za magoli inategemea na mahali inaweA ikawa mawe au milingot isiokuwa na mwamba wa juu kwa hiyo goli la juu litahesabika kutokana kimo cha kipa
 
Fah inanikumbusha miaka hiyo kuna jamaa anaitwa zakaria yeye ndo alikuwa mmiliki wa mpira alikuwa anapenda sana chenga na ni mbinafsi hatoi pasi tukawa tunachukia sana tukimtoa anabeba mpira wake anasepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…