madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Habar wakuu mi nakumbuka mwaka 2004.ilikua ni mwaka wangu wa kwanza kumiliki simu ya Nokia 3310 .nakumbuka ilikua siku moja uliita mlio wa simu nikapokea.hollow hallow kumbe ni ujumbe wa SMS .ukweli niliaaibika sana ukizingatia tulikua tumekaa watu kibao mitaa ya Uhuru jiji la miamba kwa walio fika.manake nilipokea kwa mbwembwe nyingi na madaha kibao.bac kulikua na mshikaji wangu mmoja akaniumbua kwa saut wewe hiyo SMS unapokeaaa duh USO ulinishukaa balaa simu hiz siwez kusahau.