Tukumbushane stori zilizotamba huko nyuma

Tukumbushane stori zilizotamba huko nyuma

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
katika ukuaji wangu miaka ya nyuma stori hizi zilivuma sana, sijui zilikuwa na ukweli au danganya toto tuu.
1. Nyerere alikataa kumpa Bob Marley mkono badala yake alimpa kifimbo katka sherehe za uhuru wa Zimbabwe

2. Mvua ikinyesha huku jua linawaka eti simba anazaa

3. Albino 'zeruzeru' eti hawafi

4.Nyerere aliwahi kupigwa mtama na bodyguard wake ili akwepe risasi iliyoelekezwa kwake

Karibu utukumbushe wewe unakumbuka ipi
 
Popobawa akikunanihi useme kwa watu. Usiposema anakuja kila night hahaaaaaa
 
Ukiwaona paka wanagegedana basi ni uchuro
 
Back
Top Bottom