yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
Huyo hayupo kabsa hata kwenye raman na maana hajatajwa. Alishapotea kitamboUmemsahau Mr. Blue aisee! Huyu jamaa mimi sielewagi anaimba nini.
[emoji16]hakika wewe ni tako
kama nakuelewa hv ha ha!Team domo utawajua. Hapo lengo ni konde-boy,kupoteza maboya ukamweka mwisho. Fanya yako.
Nilitegemea kukuta majina kama inspector Haroun, Mansu Li , Ferouz, TID, GK , ABDUL KIBA, TUNDAMAN , MAKAMUA etc badala yake umeweka list ya wasanii ambao bado wapo sana kwenye game... jealous or something??
Team domo utawajua. Hapo lengo ni konde-boy,kupoteza maboya ukamweka mwisho. Fanya yako.