Tukumbushane "Viraka" Bora Kabisa kutokea Nchini

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
2,366
Reaction score
2,424
Hawa wanacheza zaidi ya nafasi moja uwanjani kwa ubora na ufanisi uleule.

Kwa wastani wachezaji walio wengi wana uwezo wa kucheza nafasi moja tu kwa ufanisi lakini mchezaji kiraka ana uwezo wa kucheza nafasi zaidi ya moja.

Naowakumbuka ni hawa

1. Mwanamtwa Kihwelo
2. Said Nasoro Mwamba "Kizota"
3.
4.


Mdau ongezea hapo...
 
Kanavaro, salum swed, Victor Costa nyumba
 
FORTALEZA ulilala wapi Mpaka jamaa akaanzisha huu Uzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…