Tukumbushane visa vya pombe

Yule alopiga pushup Ni pombe gani ile?
 
Uuwiiii. Sina hata dalili Sesten na ndio imeshanipitia mbali hiyo kitu.

Si wajua tena mie age go. [emoji85] [emoji85]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pombe ikimbie ivoivooo
Age bado bana veve ndio kwanza sita na dakika saba mchana😛😛😛
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kabisaaaaaa. Ikimbie tu maana hata siitaki.

Sesten Hebuuu. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kama ni embe ndio limeiva sasa, tena limeivia mtini halina uchachu hataa kusema litataka chumvi, huo utamu wake dah!😛
 
Mie nikilewa napata nyegge sana...ndio maana naona heri nikalewe na ninaowajua tu, maana najua hawana uwezo wa kuniomba papuchi

Hii pombe huwa ina nn najua asilimia kubwa huwa inawakuta so ww tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…