Tukumbushane vituko vya Seminari. Wale ambao hamkupita seminary tuvumilieni kidogo

Tukumbushane vituko vya Seminari. Wale ambao hamkupita seminary tuvumilieni kidogo

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Ukweli,
Kwanza kuna itikadi yetu ambayo hua ni umoja popote ulipo.

Yaani kwanza kama sio rozari shingoni na kujiamini bado hujakamilika hata uwe uliishia form four haukuendelea na miaka ya uchungaji wala masomo ya falsafa.

Kuna mambo mengi ya malector, wapishi, waseminary watukutu, misa za alfajiri, unoko wa viongozi wa ibada, yaani ni balaa.

Ujue unaingia form one tu unajiona tayari upadre uko mlangoni na ukirudi home mishe zako zote ni parokiani kusaidia kazi mbalimbali

Tiririkeni vituko vyenu wale wa Uru, Maua, Katoke, St.Joseph , Kiparapara, Itaga
 
moral lesson ya hii story yako ni gani ?
 
Nakumbuka kudoji kusali kanisani asubuhi kulala mnalani kwenye kengele Tena na mimavi ya popo imejaa
 
Back
Top Bottom