Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Unamjua Paul Gascoigne "Gazza"?Wakuu wa jukwaa, leo tukumbushane wanasoka wakorofi katika mchezo wa kabumbu. Wanaweza wakawa na vipaji vya hali ya juu lakini bado wana tabia za ukorofi, ubabe kama sio utukutu yaani kadi nyekundu muda wowote. Wanaweza wakawa wanaendelea kucheza ama washastafu.
List yangu ni hii;
Craig Bellamy
Roy Keane
Nigel De Jong
naunga mkono hojaJuma Nyosso hana mpinzani
Gazza katepeteshwa, naye alikuwa wa hovyo kabisaView attachment 610235 Vinnie Jones(Wimbledon) hapo akimdhibiti Paul Gascoigne "Gazza" (Newcastle).
umenena vyemaGazza AKA Paul John Gascogne