Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Hadi vichwa anapiga wenzake, ndo ustarabu huo?mmhh hapo kwa messi sikubaliani nawe,kale kajamaa mda mwingine katata!!
Ukimuuzi anakuvunja mguu. Huwa ana rafu mbaya sanaPaul scholes
Ha Ha Ha! Sijui yuko wapi huyu mtu? Labda upole umjie uzeeni! Jamaa alikuwa haogopi kadi nyekundu kabisa
Joey Barton
Alikuwa mpole sana,nakumbuka tabia yake ya kukuchekea pale unapomchezea vibaya.
Vieira, KeaneEly haji Diof, Paul ince
Sergio Ramos[emoji1]
...mmh, huyu si mpaka aling'ata mtu Kwa minjino yake???luis suares
" A little pea"Javier Hernandez Chicharito