Tukumbushane Wanasoka wastaarabu na wapole wawapo dimbani

Kweli mkuu, hasa vijana wa juzi juzi
Huwa nikiiwambia watu kuamini ngumu mpaka uwaonyeshe YouTube.

Pia kabla ya Corona kwenye epl mpira uliokuwa unatumika ni mmoja tu labda uharibike.
 
Scott Parker.
Sasa ni kocha wa Fulham.
Sijawahi kuona mchezaji smart na mstaarabu kama huyu jamaa. Mpaka hata sasa anavyofundisha ni very smart.
 
Titus Bramble, jamaa alikuwa beki na amechezea timu nyingi Kama Bolton, wigan na Newcastle
 
Mimi nilikuwa beki mzuri sana, nilicheza namba 3 na wakati mwingine 4. katika masisha yangu ya soka sijawahi hata kumkwatua mchezaji, au hata kutamka mbovumbovu
Daah hongera mkuu,nilikuwa beki katili sana.....pale uwanja wa maji ubungo tulikuwa na mechi nikiwa Superboy's early 2010's......nilimmuumiza winga mmoja daah......zaidi zaidi huwa sisahau mechi moja ya Kinesi cup,nilimuumiza mchezaji wa Mbezi united mpaka akakimbizwa hospital,ila mpaka leo jamaa anacheza VPL Ruvu shooting na msela wangu to date......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…