Pepe kila Mara anaogelea kadi nyekunduPepe
Yaani hata ukimchezea rafu yeye hana muda wa kukulalamikia.
Mimi naanza na Javier Zanetti aliyekuwa nahodha wa Inter Milan. Jamaa ni mstaarabu sana.
fundi wa mpira wa Argentinajuan roman requelme
hapana mkuuPepe
naunga mkono hojaRicardo kaka, dinho
Hao ni watukutu wa kutupwaEly haji Diof, Paul ince
Mr consistencyValencia
Andrea Pirloxavi
Acha kuharibu uziRoy Kean, Patrick Viera, Savage etc
Fundi mwingine wa kiargentinaJavier Pedro Saviola