Nilikuwa namkubali sana.Fundi mwingine wa kiargentina
Huyu jamaa alikuwa akienda kupiga kona, faulo au penati basi yeye haushiki mpira kwa mikono yake zaidi ya kuuset mpira kwa mguu wake tu!RYAN GIGGS
Acha kuchanganya Michezo na Siasa...
Alikuwa na kipaji kikubwa sanaNilikuwa namkubali sana.
Edgar Davids, Joey Barton, Marco MaterraziRoy Kean, Patrick Viera, Savage etc
Mguu wa kushotoHuyu jamaa alikuwa akienda kupiga kona, faulo au penati basi yeye haushiki mpira kwa mikono yake zaidi ya kuuset mpira kwa mguu wake tu!
yaap mkuu alikuwa anaujua sana mpe faulo popote palefundi wa mpira wa Argentina