Ahaha haha wengine humu hawajaelewa swali kama huyu mchangiaji, ebu swali liulizwe upya.Ely haji Diof, Paul ince
Tuambie wewe ulielielewa[emoji42]Ahaha haha wengine humu hawajaelewa swali kama huyu mchangiaji, ebu swali liulizwe upya.
Wewe ni nani???Mimi nilikuwa beki mzuri sana, nilicheza namba 3 na wakati mwingine 4. katika masisha yangu ya soka sijawahi hata kumkwatua mchezaji, au hata kutamka mbovumbovu
Kichuya tena?!!Messi, George Weah(enzi zake, kwa sasa ni mheshimiwa rais) na Kichuya
HahahhahahhahaJuma nyosso
Leo MessiGaucho, kanu nwanko, okocha JJ(fundi)
Watu mnapenda sifa ninyi!!!Juma nyosso
Mmh..Moshi Boban
Jamaa nilimpenda sanafundi wa mpira wa Argentina
Unazingua!