Tukumbushane watangazaji mahiri wa mpira

Juma Nkamia alikuwa anashindwa kabisa kuficha mapenzi yake kwa Simba [emoji3][emoji3]
 
Charles Hilary.

BBC Swahili ilikuwa tamu sana! Nilikuwa naangalia mpira huku nasikiliza radio.
 
Dominic Chilambo ila Swed Mwinyi anajulikana sana kwa kutangaza mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…