Hahhahahahaha nyie mlikua kiboko hadi sausage?Tulikuwa na kigroup chetu iko tupo watatu ....basi tulikutana wote wapenda kula ,tukiwa darasani kama hatuna pipi za kijiti basi tunatafuna big G
Sasa kumbe tulikuwa tunawaboa wenzetu buana wakaenda kushitaki
Siku ya school baraza sasa kama kawaida tukahudhuria,nakumbuka mmoja wetu siku hiyo alikuja na pakti la sausage ...basi tukajikalia zetu nyuuuma kabisa huku tunakula zile sausage
Ghafla tukaanza kuitwa mmoja baada ya mwingine
Joanah,anitha&lily tukaambiwa tupite mbele!
Yaani sikuamini kama anayeitwa ni mimi hadi nilivyoona watu wanatugeukia
Mimi&lily vilio vilianzia huku nyuma tunakotoka hadi mbele (hofu ya bakora mixer aibu)
Asee sijawahi kuomba msamaha vile kama ile siku
Mwisho wa siku tukapewa adhabu tu ya kubandua big G za vyumba vya madarasa yote
π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π πAiseeee siku moja tulitoka kantini tumechele (migahawa ya mitaani in st kayumba sec).
Bwana wee tukakamatwa, tukapelekwa sehem panaitwa uwanja wa damu (ukipelekwa pale unapigwa mpaka utoke damu ndio unaachiwa) Basi bwana tukapiga magoti, mwalimu akatupa azabu ya kupiga makofi. Tukapiga weeeeeeee makofi kama saa moja na nusu. Mikono ikajaa vidonge donge vya damu kwa ndani. Wacha tuanze kulia vidume wazimaa sasa mwalimu akatupa kelbu tatu tatu kila mtu (stiki3).
Akatupitisha kila darasa tuko tunapiga makofi huku tunaimba sisi ni wajinga, sisi ni wajingaaa. Nikakutanisha macho na kamchepuko wewe na miaibu yangu nikainamisha lisura langu
HahahHahhahahahaha nyie mlikua kiboko hadi sausage?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] masista duu mlikuwaTulikuwa na kigroup chetu iko tupo watatu ....basi tulikutana wote wapenda kula ,tukiwa darasani kama hatuna pipi za kijiti basi tunatafuna big G
Sasa kumbe tulikuwa tunawaboa wenzetu buana wakaenda kushitaki
Siku ya school baraza sasa kama kawaida tukahudhuria,nakumbuka mmoja wetu siku hiyo alikuja na pakti la sausage ...basi tukajikalia zetu nyuuuma kabisa huku tunakula zile sausage
Ghafla tukaanza kuitwa mmoja baada ya mwingine
Joanah,anitha&lily tukaambiwa tupite mbele!
Yaani sikuamini kama anayeitwa ni mimi hadi nilivyoona watu wanatugeukia
Mimi&lily vilio vilianzia huku nyuma tunakotoka hadi mbele (hofu ya bakora mixer aibu)
Asee sijawahi kuomba msamaha vile kama ile siku
Mwisho wa siku tukapewa adhabu tu ya kubandua big G za vyumba vya madarasa yote
mbona haujarudi mpaka sasaNarudi