Alfred
JF-Expert Member
- Apr 13, 2008
- 2,093
- 2,843
Ni usiku mwingine tena ndugu zangu, tumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutujalia pumzi mpaka dakika hii!
Katika kupanda vyombo vya usafiri inatokea wakati mimi na wewe ambao ni vijana tunakuwa tumepata siti ila kuna mtu mzima au mlemavu hajapata siti, hebu tujaribu kuwapa nafasi zetu hata kama hizo siti pia sisi tumelipia.. nasi tutakuja kufanyiwa wema siku moja kadri tunavyotenda sisi!
Muwe na Usiku Mwema!