Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,877
- 5,022
Aya aya aya aya aya
tukumbushane a.k.a zetu tulizokuwa tunaitwa na wanafunz wenzet instead of our real names?
mfano.
mim wakat nkiwa shule ya msing mburahati walinpa nick name 'kipua'coz nlikuwa na pua ndef
o'level wakanitaga zambrota nlikuwa nakaba sana uwanjan hasa football
advance:wakaniita cambiaso coz nlifanana sana na huyo mchezaj footbal wa argentina
je wew mwenzangu walikuwa wamekupa jina gan au 'govinda'