Shule yamsingi = OSAMA
Sekondari = Monoraizer
kisa Nilikuwa najiita A one + Raizer aliyokuwa ana niita mama ! Ikawa Monoraizer
Uno = nilikuwa na ngoma nyingi sana za Tamaduni Muzik
2012 nikawa naitwa Gaddafi => Nilikuwa mkatili
Sahizi wananiita snipa => mviziaji sana wa vi binti !
Ila currently ni BaBa Elvis nayo ni a.k.a