Tukumbushe jina lako la utani

Tukumbushe jina lako la utani

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
3,978
Reaction score
9,841
Ebu tufanye kama tunakumbushana majona yetu ya utani tuliyopewa shule uko au mtaa wakati huo upo mtoto,
Haha, nakumbuka mimi binafsi nilikuwa na majina mengi sana ya utani na ilitokana na ka mwili kangu nilikuwa mwambamba kinoma 😀😀😀 KIJITI hili jina iilikuwa skuli o level KINJIKITILE, CHIKONDA haya yalikuwa mtaani, hahah

Kumbushia na wewe jina lako la utani enzi za utoto au hata kama unataniwa mpaka sasa tuambie tu
 
Malapulapu.

Baada ya kutoa shati yangu ya shule ifanyiwe mazingaombwe,
nikijua nitapata mashat mapya 6. Mwishon shat yangu ikatoka imechanika chanika, na nikapewa jina la malapulapu.

Nashukuru mwana mazingaobwe alinirudishia shat yangu, baada ya kuanza kulia.

Toka siku iyo nikaitwa Malapulapu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa maji , wameniweza kwani jina linaendana nami . Nina miaka 50 sina nyumva , sina mke , kwangu ni ikawa asubuhi ikawa jioni siku zinapita . Ni kichwa maji cha kisasawa !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Black

Akon

military boot

KIWI

Charcol

Mathematician

By the way I ne'er had a fight with anybody,i was happy and diplomat to those who joked me and at the end of time all names gone.

Hahahaa golden days
 
Rubber four,chula
Enzi za sekondari na shule ya msingi
 
S/msingi nilikuwa nabadili mabegi na mikoba mbalimbali yakubebea daftari . Wakawa wananiita KIBEGI
Secondari shule moja walikuwa wananiita johncena na shule nyingine walikuwa wananiita batista sababu ya mwendo na umbo. Nilikuwa na umbo kubwa na nikitembea kama baunsa. Majina hayo sikuyApenda hivyo nikabadili mwendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka siku ya kwanza naenda kufanya morning speech kuna neno la Major nikaita Kama lilivyo (Majori) instead of Mejya ..wakanibatiza Majori ..
Ila nikaja kusave tena siku nyingine ya morning talk/speech nilishusha dude moja La Malcom X bullet or ballot speech baada ya kulimeza. Hapo nilikua form 2 tu basi.. Tangia hapo nikabadilishwa kutoka majori mpaka naitwa brother X hadi walimu mpaka kesho.. (Waliosoma Mazengo wanaweza kunitambua [emoji9][emoji9][emoji2])
Ila kuna washenzi kitaa wananiitaga Bambo.. Yani kila nikimwangalia Bambo nabaki kujiuliza why. Wananifanyia hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka siku ya kwanza naenda kufanya morning speech kuna neno la Major nikaita Kama lilivyo (Majori) instead of Mejya ..wakanibatiza Majori ..
la nikaja kusave tena siku nyingine ya morning talk/speech nilishusha dude moja La Malcom X bullet or ballot speech baada ya kulimeza. Hapo nilikua form 2 tu basi.. Tangia hapo nikabadilishwa kutoka majori mpaka naitwa bother X hadi walimu mpaka kesho.. (Waliosoma Mazengo wanaweza kunitambua [emoji9][emoji9][emoji2])
Ila kuna washenzi kitaa wananiitaga Bambo.. Yani kila nikimwangalia Bambo nabaki kujiuliza why. Wananifanyia hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Brother X
 
kuna mke wa mtu alikuwa ananiita 'mume wangu' sa cjui ndo jina la utani hilo..
 
Ebu tufanye kama tunakumbushana majona yetu ya utani tuliyopewa shule uko au mtaa wakati huo upo mtoto,
Haha, nakumbuka mimi binafsi nilikuwa na majina mengi sana ya utani na ilitokana na ka mwili kangu nilikuwa mwambamba kinoma 😀😀😀 KIJITI hili jina iilikuwa skuli o level KINJIKITILE, CHIKONDA haya yalikuwa mtaani, hahah

Kumbushia na wewe jina lako la utani enzi za utoto au hata kama unataniwa mpaka sasa tuambie tu
99% ya majina ya ID za JF si ya kweli.

Sasa ukumbushwe nini tena? Pitia page ya members ujisomee ID zao.
 
Back
Top Bottom