Nakumbuka siku ya kwanza naenda kufanya morning speech kuna neno la Major nikaita Kama lilivyo (Majori) instead of Mejya ..wakanibatiza Majori ..
la nikaja kusave tena siku nyingine ya morning talk/speech nilishusha dude moja La Malcom X bullet or ballot speech baada ya kulimeza. Hapo nilikua form 2 tu basi.. Tangia hapo nikabadilishwa kutoka majori mpaka naitwa bother X hadi walimu mpaka kesho.. (Waliosoma Mazengo wanaweza kunitambua [emoji9][emoji9][emoji2])
Ila kuna washenzi kitaa wananiitaga Bambo.. Yani kila nikimwangalia Bambo nabaki kujiuliza why. Wananifanyia hivi
Sent using
Jamii Forums mobile app