Tukumbushe jina lako la utani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sakayo bana
kwahiyo mwanamke mfupi sakayo, halaf mwanaume ndo zakayo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliitwa Dikteta kwa sababu ya uongozi wangu wangu wa mabavu nikiwa kiranja.
 
kwahiyo mwanamke mfupi sakayo, halaf mwanaume ndo zakayo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaaaa
Ila zamani ndo nilikuwa mfupi... Saivi naamini hata wewe nakushinda urefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…