Tukumbushie makundi ya muziki yaliyotamba na kuitikisa dunia

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Mpaka leo hii navyoandika hapa Deadbody sijawahi kuona kundi la muziki la wanawake kama hili





Ni kundi lililojumuisha wadada watatu wakijulikana kama DESTINY CHILD
  • Beyonce Knowles
  • Kelly Rowland
  • Michelle William
Na hizi ni moja ya nyimbo walizoimba na moja hiyo alishirikisha Kelly


Hawa wadada waliukonga sana moyo wangu katika ulimwengu wa burudani.Yani niliwapenda wakiwa ndani ya sanaa na maisha yao njee ya sanaa yalikuwa burudani tosha kabisa kwangu.

Nyuso zao zilijaa sana furaha na mda wote nilitamani kuoa mmoja wao hasa huyu KELLY...

BEYONCE



KELLY ROWLAND


MICHELLE WILLIAMS


Hawa wadada walinivutia sana enzi hizo

Leo nimeona wanaJF tukumbushie makundi ya Muziki yaliyotamba zamani kidogo huko

Karibuni sana!
 
Daz Nundaz hawa walitikisa Bongo...
Maji ya shinga ile ni nomaaa mkuu

Kuna mstari "Nipo njia panda me sioni kimbilio,moyo wenye matundu sasa unanienda mbio"
 
Kiba Square, enzi hizo walitamba sana na kibao chao cha "Bilinge Bayoyo".
Kipindi nipo mtoto mimi na watoto wenzangu tumecheza sana huu wimbo tena tumeimba Bilinge Bayoyo na aidama yoyoyoo
 
KOOL AND THE GANG
Ngoma yao ya Cherish The Love na Celebration



WESTLIFE
Hawa jamaa kuanzia My love, I have a dream na nyinginezo


JACKSON 5
Hili kundi liliundwa na akina Michael Jackson na kaka zake
Westlife safi saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…