Tukumbushie makundi ya muziki yaliyotamba na kuitikisa dunia

Boys II Men did it much better... 'can you stand the rain'..
OG version was new edition.
 
1.Technotronic
2. Alphaville
3. Black Uhuru
4. 2 Unlimited
5. Culture Club
6. Masterboy
7. Chic
8. Fun Factory
9. Real McCoy
10.The Cure
Napopata muda na kusikiliza baadhi ya nyimbo huwa nasema muziki ulikuwa zamani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
The comodolos
New edition
Cool and the gang
Abba
The Manhattan
Msondo
Les wanyika
Sikinde
Boyz one
Boyz 2 men
Etc
 


maghala ya chumvi ushamaliza mkuu...
hongera..
 
Jimmy Cliff. Good bye yesterday, The harder they come, buffalo soldier. etc
 
ni mziki wao ulikuvutia au ni wadada walikuvutia?
 
SWV(Sisters With Voices) nao walitikisa Dunia.
U always on ma mind kibao kilikuwa murua sana hiki.
Nb:hapo pa makundi mbona patamu maana palikuwa na salt and pepper achilia mbali TLS wakiwa na Lisa Lopez ilikuwa shughuli kibao kama No scrubs aah wakati umekwenda sana jamani
 
A TRIBE CALLED QUEST, MOBB DEEP, WU-TANG CLAN, N.W.A, NAUGHTY BY NATURE, PUBLIC ENEMY, OUTKAST, THE ROOTS..
Duh huu mchanyato uloweka akina ghostface killer huku redman huku method man pale RZA ilikuwa shida na hao watundu wa asili mtu tatu wanakwambia jamboree weka mbali na watoto trech pana wimbo aliimba na almarhum aaliyah wacha kabisa
 
Quartier Latin with Charles Antoinne Koffi Olomide aka Papaa Mopao.

Hili kundi lilikuwa hatari sana hasa hit song waliyoitoa iliyoitwa 'MAGGIE' 1994, ambapo jina hilo la nyimbo ndilo lilibeba jina la album,,,, ilikuwa gumzo ktk ulimwengu wa dansi.
 
Sokous star,Tp.Oƙ juzz,ddc mlimani park sikinde ngoma ƴa ukae, Maquize original,Maquize du zaire ,Quɓain malimɓa,moro juz kwa miziki ƴenu ƴa mapinduzi kuna Hbc,Univercitƴ cona wazee wa tshirt na jins na sold grounɗ familƴ
 
Boys II Men did it much better... 'can you stand the rain'..
OG version was new edition.
No nadhani can u Stan wameimba new edition sins hakika sana lakini si boyz2men waliouimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…